.
Chanzo chetu cha habari ambacho kiko karibu na staa huyo
kilieleza kuwa Snura huwa na tabia ya kupandisha mzuka wa
jukwaani awapo kwenye sita kwa sita na wakati mwingine huweza
hata kuvunja kitanda endapo akiamua kufanya hivyo…..
“Unajua Snura anaasili
ya kizaramo, Amefundwa kila aina ya mafunzo ya kuwa na
mwanaume.Mimi ni rafiki yangu kwa kipindi kirefu, yaani tokea
niwe karibu naye wanaume aliowahi kuwa nao wamemsifu kuwa
anaweza mambo tena si kitoto”, Kilieleza chanzo hicho
Inadaiwa kwamba asilimia kubwa ya mastaa wa kike huwa
hawapendi kujishughulisha wawapo faragha kutokana na ustaa
wao,lakini taarifa za Snura zimekuwa tofauti….
Mwandishi wetu alimtafuta Snura ambaye baada ya kumuuliza aliangua kicheko:
“Sasa utamu wa ngoma
si ni lazima uicheze? Huwezi kujua hivi hivi.Hayo mambo ni
mazito sana naona kwangu ni ngumu kuyazungumzia kwa sababu
najiandaa kuolewa. Ila kwa mwanamke hasa wa taipu yangu ni
lazima ujue kumpetipeti mume.
“Hilo halinipi shida
sana sababu nimekamilika kila idara.Mbele ya watu kibao
shughuli inakuwa pevu jukwaani sembuse chumbani wawili tu?” Alisema staa huyo anayefunika Tanzania na ngoma yake ya Nimevurugwa








0 comments:
Post a Comment